Wednesday, April 10, 2013

Haijawahi kutokea, ubunifu wa mashabiki Dortmund

Picha ya mtu mwenye darubini, ikiwa ni ubunifu wa mashabiki wa Borussia  Dortmund, aina hii ya  maonesho haijawahi kutokea katika historia ya soka duniani. Chini waliweka maneno yaliyosomeka "On the trail of the lost cup"

Wachezaji wa Dortmund na Malaga wakiingia uwanjani sambamba na picha ya mtu aliyeshikilia darubini, huu ulikuwa ni mchezo wa robo fainali za UEFA champions, mechi iliyokwisha kwa Dortmund kushinda goli 3-2 dhidi ya Malaga. Borussia Dortmund wamefanikiwa kusongambele kwenye hatua ya nusu fainali.

No comments:

Post a Comment