Thursday, May 30, 2013

Bayern Munich waipiku Man utd kwa thamani

Triumphant: Bayern won the Bundesliga and the Champions League... and now are the most valuable brand
Baada ya kutwaa kombe la ligi na Uefa champions klabu ya Bayern Munich imepanda thamani kwa asilimia tisa na kuweza kuipiku klabu ya Man utd iliyokuwa ikishikilia nafasi ya kwanza. Bayern Munich inashikilia nafasi ya kwanza kwa kuwa na thamani ya dola mil 860 ikiwa mbele kwa tofauti ya dola mil 23 dhidi ya Man utd inayoshikilia nafasi ya pili. Man utd ilishuka kwa asilimia mbili baada ya Sir Alex kutangaza kustaafu. Ifuatayo ni kumi bora ya thamani kwa klabu mbalimbali.   
Rank
Club
Brand value ($)
% change
Brand rating
1
Bayern Munich
860m
9
AAA
2
Man United
837m
-2
AAA+
3
Real Madrid
621m
4
AAA+
4
Barcelona
572m
-1
AAA
5
Chelsea
418m
5
AA
6
Arsenal
410m
6
AA+
7
Liverpool
361m
-2
AA
8
Man City
332m
10
AA-
9
AC Milan
263m
-10
AAA-
10
Borussia Dortmund
260m
15
AA

No comments:

Post a Comment