Wednesday, May 29, 2013

Jose Mourinho asaini mkataba na Chelsea

SPECIAL DELIVERY ... Mourinho will be expected to bring success to Stamford Bridge
Jose Mourinho amesaini rasmi mkataba na Chelsea kwa kipindi cha miaka minne unaogharimu kiasi cha paundi mil 40. Jose alisaini mkataba huo usiku wa jumanne jijini London lakini anatarajiwa kutangazwa rasmi baada ya kumaliza mechi ya mwisho kati ya Real Madrid na Osasuna jumamosi hii. Mourinho anatarajiwa kuanza kibarua chake na Chelsea kwenye mechi dhidi ya Singha All stars ya Thailand ikifuatiwa na Malaysia na Indonesia wakati Chelsea watakapokuwa kwenye ziara nchi za kusini mashariki.

No comments:

Post a Comment