Wednesday, May 15, 2013

Chelsea mabingwa UEFA cup

Klabu ya Chelsea imeweza kuweka rekodi barani ulaya baada ya jana kutwaa ubingwa wa Europa cup ikiwa ni mara mbili mfululizo kushinda vikombe viwili vya ulaya baada ya mwaka jana kushinda kombe la UEFA champions. Chelsea inakuwa ni timu pekee ambayo imeweza kutwaa makombe haya mawili kwa miaka inayofuatana tofauti na timu zingine ambazo zimeshawahi kushinda makombe haya lakini kwa miaka mbalimbali. Chelsea iweza kushinda kombe hili baada ya kuifunga Benfica ya Ureno kwa goli 2-1, magoli yaliyofungwa na Torres na Ivanovic. Ushindi huu unawapa kigugumizi viongozi wa Chelsea kuhusu Benitez, kocha ambaye wanatarajia kumfukuza na nafasi yake kuchukuliwa na Mourinho. Hongera Chelsea

Champions: Chelsea lift the Europa League after beating Benfica in the final in AmsterdamOn the continent: Chelsea added the Europa League to their Champions League success last yearBoss: Rafa Benitez smiles as he lifts the Europa League trophy in Amsterdam
Hero: Branislav Ivanovic's header in injury time sealed a 2-1 win and European glory for Chelsea
Delight: Torres celebrates his goal before being mobbed by his ecstatic team-mates
Glory: Ivanovic leads the celebrations on the pitch with the Europa League trophy

No comments:

Post a Comment