Wednesday, May 22, 2013

Kamati ya Stars yamwaga mil 30 kwa wachezaji

Kamati ya yaidia Taifa stars ishinde ikiongozwa na mwenyekiti wake Mh. Mohamed Dewji 'Mo' leo imekabidhi kiasi cha shilingi milioni 30 kwa Taifa stars ikiwa kama motisha kwa wachezaji ili waweze kushinda mechi yao ijayo dhidi ya Morocco inayotarajiwa kufanyika nchini Morocco mapema mwezi ujao. Kamati hiyo ilikabidhi fedha hizo kwa nahodha wa timu Juma Kaseja na kutoa ahadi ya kuwamwagia pesa zaidi kama watashinda mchezo wao dhidi ya Morocco. 

No comments:

Post a Comment