Thursday, May 16, 2013

Majina ya mawaziri na wabunge wapenzi wa Simba

Wabunge na mawaziri ambao ni Simba damu ni Rage (Mwenyekiti wa Simba), Ndugai (Kongwa), Ngonyani, Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta (Urambo Mashariki), Kapuya, Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (Chadema). Idd Azzan (Kinondoni), Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo, Amos Makala (Mvomero), Murtaza Mangungu (Kilwa Kaskazini) Naibu Waziri wa Ujenzi, Gerson Lwenge, ( Njombe Magharibi), Naibu Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Adam Malima, (Mkuranga) na Waziri wa Ujenzi, John Magufuli. Wakati huo huo mawaziri na wabunge hawa wiki hii walifanya kikao cha siri mjini Dodoma ili kuiwezesha Simba ishinde dhidi ya Yanga jumamosi ikiwemo kutafuta fedha ambazo zitakuwa ni motisha kwa vijana wa Simba kushinda. 

No comments:

Post a Comment