Tuesday, May 28, 2013

Michezo inayochezwa kwenye mazingira mazuri

Hizi ni baadhi ya picha ambazo zinaonesha aina ya michezo ambayo inachezwa kwenye mazingira mazuri zaidi duniani ukilinganisha na michezo mingine. Mbali yakuwa na mazingira mazuri ya kucheza pia michezo ya aina hii imekuwa ikipendwa na jamii ya watu flani maalumu na mara nyingi ni watu wanaopenda michezo yenye utulivu, hutumia muda wao kwenye michezo hii kutuliza akili, ni michezo yenye uwiano sawa kwa watazamaji kati ya jinsi za kike na kuime, ni nadra sana kuona watazamaji au wachezaji wa michezo hii wakigombana au kupigana, aina yake ya kushangilia ni kupiga makofi ya heshima na pia watu wengi wanaopenda michezo hii ni wenye uwezo kiuchumi. Michezo hii ni Gofu, mbio za magari madogo, tenesi na michezo ya farasi, zifuatazo ni picha za baadhi ya maeneo ya michezo hii.  
Gofu 

Mbio za magari madogo 

Tenesi 

Michezo ya farasi 

No comments:

Post a Comment