Sunday, May 26, 2013

Mario Mandzukic amepoteza medali yake

Mshambuliaji wa Bayern Munich, Mario Mandzukic jana alijikuta anapoteza medali yake ya dhahabu wakati akishangilia ushindi kwenye uwanja wa Wembley. Frank Ribery ndiye aliyegundua kuwa medali ya Mandzukic imeanguka baada ya kujiachia kutoka kwenye kamba yake. Angalia video inayoonesha tukio hilo 

No comments:

Post a Comment