Tuesday, June 4, 2013

Federer apigwa, Serena aingia nusu fainali

Roger Federer went down in straight sets at the French Open on Tuesday, losing 7-5, 6-3, 6-3 to Jo-Wilfried Tsonga.
Roger Federer akiwa mwenye huzuni baada ya kutolewa na Tsonga kwa seti 7-5, 6-3, 6-3 kwenye michuano ya French Open. Federer ambaye ni bingwa wa Grand Slams 17, amekuwa akifanya vibaya mara zote kwenye michuano inayofanyika viwanja vyenye vumbi ikiwemo French Open na imekuwa ni udhaifu wake wa muda mrefu jambo ambalo linamfanya mpinzani wake Rafel Nadal kushinda Slams nyingi za michuano ya French open kwasababu hana mpinzani.  
Thomas Coex/AFP/Getty Images
Tsonga akishangilia baada ya mechi kuisha akiwa haamini kumtoa mchezaji bora namba mbili duniani Roger Federer kwa seti tatu mfululizo. Kwa matokeo haya Tsonga atakutana na David Ferrer kwenye nusu fainali itakayofanyika Juni 7.

Serena ashinda dhidi ya mpinzani wake Kuznetsova
Ecstasy: Serena Williams celebrates her victory over Russia's Svetlana Kuznetsova in the French Open
Serena akishangilia kwa machungu baada ya kumbwaga mpinzani wake kwenye michuano ya French open Svetlana Kuznetsova kwa seti 6-1, 3-6, 6-3 kwenye mechi iliyokuwa na upinzani huku Serena na Svetlana wakioneshana viwango vya hali ya juu.  
Serena Williams Serena Williams
Flying battle: Serena capitulated in the middle set of her progression to the semi-finals
Defeated: Svetlana Kuznetsova of Russia plays a backhand as she gives Serena problems despite the win
Svetlana Kuznetsova akirudisha mpira kwa nyuma 'Backhand'. Kuznetsova mara nyingi huwa anamfunga Serena hadi analia uwanjani lakini safari hii amepatiwa dawa yake

Angalia viwango vya tenesi kwenye highlights za mechi zote mbili 


No comments:

Post a Comment