Friday, June 21, 2013

Higuain ameshawasili London kusaini Arsenal

Higuain In London
Hii ni picha aliyoiweka Gonzalo Higuain kwenye account yake ya twitter akiwa amewasili kwenye uwanja wa heathrow jijini London tayari kuelekea kwenye klabu ya Arsenal kusaini mkataba baada ya mukubaliano kukamilika. Higuain anatarajia kusaini mkataba wa paundi 150,000 kwa wiki na anatarajia kutangazwa leo au kesho na klabu ya Arsenal. 

No comments:

Post a Comment