Wednesday, June 5, 2013

Man city yakamilisha usajili wa Fernandinho

Fernandinho feared his move could be scuppered by £42.5m price tag
Kiungo wa Shakhtar Donetsk Fernandinho (mwenye sweta jeusi) akiwa jijini Manchester leo asubuhi tayari kwenda kufanyiwa vipimo kabla ya kusaini mkataba na klabu ya Man city. Fernandinho amefanikiwa kusajiliwa na Man city kwa paundi mil 22, usajili wa Fernandinho umekuwa ni wa pili kwa Man citu msimu huu baada ya Jesus Navas kusajiliwa wiki hii pia. Wachezaji hawa na wengine ambao Man city itaendelea kuwasajili lengo lake ni kukamilisha mahitaji ya Manuel Pellegrini ambaye ni kocha mpya anayetarajiwa kuchukua nafasi ya Mancini. Bado haijajulikana wachezaji wengine watakaosajiliwa na Man city lakini tetesi zilizopo Man city inawahitaji pia Cavani, Fabregas na Isco. 

No comments:

Post a Comment