Wednesday, June 5, 2013

Mapumziko ni muhimu kwa afya ya mwanadamu

Mapumziko ni jambo muhimu kwa afya ya mwanadamu baada ya kufanya kazi kwa muda mrefu.Mwezi uliopita tumeshuhudia ligi mbalimbali barani Ulaya kuisha, punde baada ya ligi kuisha wachezaji wameonekana sehemu tofauti duniani kwenye mapumziko wakitumia fursa hiyo muhimu kupumzisha akili na viungo vya mwili, jambo ambalo linawafanya kuwafreshi pindi wanapoanza msimu mpya wa ligi. Jambo hili ni la kujifunza kwa wanamichezo na jamii nyingine ya Watanzania kupata mapumziko angalau mara moja kwa mwaka ili kupumzisha akili na viungo. Sio lazima kwenda Ibiza, Waikiki au Phuket  kwa mapumziko, mazingira yoyote yaliyopo ndani ya Tanzania ambayo unahisi yatakupumzisha akili na viungo yanafaa kwenda kwa likizo yako.  

All aboard: But the size of John Terry's yacht doesn't compare to Roman Abramovich's luxurious design
John Terry akiwa na boti yake aliyoinunua kwa paundi laki nne, Terry yupo nchini Ureno kwa mapumziko na mkewe Toni
Is that the way to Monaco? The Chelsea skipper has been linked with a move to the big-spending French club
Terry akiwa na mkewe Toni
In the shade: Mario Gotze and his model girlfriend Ann-Kathrin Vida enjoy the sunshine on a yacht in Ibiza
Gotze kiungo wa Dortmund akiwa nchini Hispania kwenye visiwa vya Ibiza pamoja na mchumba wake Ann
Relaxing: Steven Gerrard with wife Alex in Portugal - the England midfielder celebrated his birthday on Thursday Relaxing: Steven Gerrard with wife Alex in Portugal - the England midfielder celebrated his birthday on Thursday
Steven Gerrard akiwa na mkewe Alex nchini Ureno wiki iliyopita alipokuwa kwenye mapumziko na kusherekea siku yake ya kuzaliwa kufikisha miaka 33.
Chris Smalling and Sam Cooke
 Chris Smalling beki wa Man utd akiwa mapumzikoni kwenye fukwe za Barbados
 photo fernando-torres4-a_zpsf9454f66.jpg
Torres akiwa na mkewe kwenye fukwe za Ibiza nchini Hispania wiki iliyopita
 photo pique-estrella-OK_zpsc14f2def.jpg
Gerrard Pique wa Barcelona akibusu jina la mkewe Shakira lililopo kwenye jengo la Hollywood star jijini Los Angeles, Marekani ambapo yupo kwenye likizo ya wiki moja. 

No comments:

Post a Comment