Wednesday, June 19, 2013

Neymar anavipaji vingi kumbe??

 photo 4914e60cd76c11e285b022000a9f15de_7_zps8e99a9d4.jpg
Neymar akiwa kazini kumnyoa mchezaji mwenzake Lucas walipokuwa mapumzikoni kwenye mji wa Fortaleza nchini Brazil kabla ya mechi yao dhidi ya Mexico. Vitu kama hivi nadra sana kutokea kwa masupastaa, kwani mishahara yao inatosha kumuita kinyozi nyumbani kwake na kumlipa pesa nyingi, lakini Neymar na Lucas wamefanya kinyume kwa kuamua kunyoana wenyewe, jambo hili linaonesha hawa jamaa wamezoea kuwa maarufu na wanajiona wao kama watu wa kawaida mbali ya umaarufu wao. 

No comments:

Post a Comment