Friday, June 28, 2013

Mcheki Neymar alivyomfanyia mchezaji wa Uruguay

Haikujulikana Neymar aliambiwa kitu gani na mchezaji wa Uruguay jambo ambalo lilifanya wajibishane na kumpelekea Neymar kumbusu mchezaji huyo wa Uruguay kwa dharau na kukejeli kama video inavyoonesha. 

No comments:

Post a Comment