Monday, June 3, 2013

NSSF yaibuka na ushindi dhidi ya Bunge

Timu ya NSSF ALL STAR imeibuka na ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Bunge Sports Club katika mchezo wa kirafiki mpira wa miguu uliyofanyika wikiendi mjini Dodoma. Kwa ushindi huu timu ya NSSF ilikabidhiwa kombe na mgeni rasmi Naibu Spika wa Bunge Mh. Job Ndugai mbele ya Mkurugenzi Mkuu wa NSSF Dk. Ramadhan Dau

No comments:

Post a Comment