Saturday, June 8, 2013

Serena ashinda French Open dhidi ya Sharapova

Serena Williams akinyanyua juu kombe la French Open baada ya kumpiga bingwa mtetezi Maria Sharapova kwa seti mbili mfululizo 6-4, 6-4. Kombe hili linakuwa la pili kwa Serena katika michuano hii ya French Open na kumfanya afikishe Grand Slam 16 na ataendelea kushika nafasi ya kwanza kwenye renki za tenesi duniani kwa upande wa kike.
Too good: Williams will now be the hot favourite to win Wimbledon when it starts later this month
One step too far: Sharapova has now lost her last 13 matches against the world No 1
Too good: Williams will now be the hot favourite to win Wimbledon when it starts later this month
Game, set, match: Williams is indisputably the best player in women's tennis at the moment
Serena Williams

Video highlights Serena vs Sharapova

No comments:

Post a Comment