Saturday, June 29, 2013

Torres bado anaongoza kwa ufungaji Confederation

Torres bado anaongoza kwa ufungaji wa magoli kwenye michuano ya kombe la mabara akiwa na jumla ya magoli matano (5), na anatarajiwa kuwepo kwenye kikosi cha Hispania dhidi ya Brazil licha ya kucheza bila kufunga kwenye mechi ya Italia. Ifuatayo ni kumi bora ya wafungaji kweye michuano hii 
Jina 
Magoli
Mechi alizocheza
Dakika alizocheza
Penati
 F. TORRES
5
3
214
0
A.HERNANDEZ
4
1
90
1
David VILLA
3
2
105
0
N.ODUAMADI
3
2
135
0
J.HERNANDEZ
3
3
270
1
 Luis SUAREZ
3
4
284
0
 NEYMAR
3
4
322
0
 FRED
3
4
343
0
 JO
2
2
17
0
 DAVID SILVA
2
3
179
0

No comments:

Post a Comment