Klabu ya Arsenal imeendeleza ushindi kwenye ziara yake nchi za Asia baada ya leo kushinda goli 3-1 dhidi ya Nagoya Grampus ya Japan. Magoli ya Arsenal yamefungwa na Giroud, Miyaichi na Walcott na kuifanya Arsenal ifikishe magoli 17 katika mechi tatu ilizocheza kwenye mechi za kirafiki Mechi ya kwanza Arsenal ilishinda magoli 7-0 dhidi ya Indonesia kabla ya kuifunga Vietnam magoli 7-1 pia. |
Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger akipokea beji ya heshima kutoka kwa maneja wa timu ya Nagoya, timu ambayo Wenger aliifundisha mwaka 1995-96 kabla ya kujiunga na Arsenal. |
No comments:
Post a Comment