Katika kuonesha bado yupo Man utd, Mshambuliaji Wayne Rooney leo amehusika kutambulisha rasmi shirika la ndege la Urusi, Aeroflot, kama mdhamini mkuu wa klabu hiyo katika safari zitakazohusisha Man utd hususani zile za nje ya Uingereza. Uhusika wa Rooney kati ya wachezaji wote wa United kutambulisha shiriki hili ni moja sababu ambazo zimetajwa kuwa mchezaji huyo hataondoka United msimu huu licha ya kutajwa mara kadhaa kuhamia Arsenal, Chelsea au Barcelona. |
Warembo wa Aeroflot Airline wakipendezesha shughuli hii ya kutambulisha rasmi shiriki hili la ndege kama mdhamini wa mkuu wa United kweye usafiri wa aga. |
No comments:
Post a Comment