Friday, July 19, 2013

Mama atoa machozi baada ya kumuona Gerrard

Tears of joy: A fan reacts after meeting Steven Gerrard
Pichani ni mshabiki wa Liverpool akilia baada ya kumuona nahodha wa klabu hivyo Steven Gerrard. Mama huyu alitoa sauti kubwa akisema 'i love you Gerrard' baada ya kumuona live akikatisha mbele yake nchini Indonesia. Gerrard mwenyewe baada ya kumuona na kumsikia mama huyu, alitabasamu na kumsika mkono. Chini ni video ya tukio hili kama lilivyorekodiwa na kamera ya Liverpool

No comments:

Post a Comment