Sunday, July 21, 2013

Man utd mazoezini leo asubuhi kwenye fukwe

All at sea: The Manchester United squad had a training session at Bondi Beach
Wachezaji wa klabu ya Man utd wakiwa kwenye mazoezi ya mwisho mwisho nchini Australia klaba ya kupaa kuelekea nchini Japan. Katika ziara yao nchini Australia, Man utd walishinda goli 5 - 1 dhidi ya All Stars, timu iliyoshirikisha mastaa wa ligi ya Australia. 
Life's a beach: United players, left to right, Anderson, Robin van Persie, Rafael da Silva and Tom Cleverley
Anderson, Robin van Persie, Rafael da Silva na Tom Cleverley wakiwa kwenye fukwe za Bondi nchini Australia pamoja na wenzao.
Different venue: Phil Jones and Ben Amos arrive at Bondi Beach for training

Mechi za Man utd kirafiki zilizosalia Asia

July 23 Yokohama F-Marinos (Nissan Stadium, Yokohama) 11.20am
July 26 Cerezo Osaka (Osaka Nagai Stadium, Osaka) 11am
July 29 Kitchee (Hong Kong Stadium, Hong Kong) 1pm

No comments:

Post a Comment