Wednesday, July 31, 2013

Neymar acheza mechi ya kwanza akiwa na Barca

Double trouble: Messi and Neymar didn't have much chance to strut their stuff on the pitch together
Neymar akiwa na Lionel Messi wakati wanaingia uwanjani kucheza mechi ya kirafiki kati ya Lechia Gdansk na Barcelona. Mechi hii ilikuwa ni ya kwanza kwa Neymar kuichezea klabu ya Barcelona na alicheza pamoja na wachezaji wa timu ya pili ya Barcelona ili aweze kuzoea mazingira mapya. Aliingia dakika ya 78 na alichezea rafu zisizopungua tano ndani ya dakika 12 alizocheza. Angalia video iliyopo kwenye habari hii kumuona akicheza mechi yake ya kwanza. Matokeo ya mwisho ya mechi hii yalikuwa ni droo ya goli 2-2, magoli ya Barcelona yalifungwa na Roberto na Messi. 
PHOTO: MIGUEL RUIZ - FCB
Neymar akiwa kwenye benchi pamoja na wachezaji wa Barcelona 'B'
Neymar Neymar
Test: The £50million summer signing will be hoping to prove that he has the skills to cope in Europe
PHOTO: MIGUEL RUIZ - FCB
PHOTO: MIGUEL RUIZ - FCB

No comments:

Post a Comment