Saturday, July 20, 2013

Wanachama wa Simba wamkubali Rage


Mwenyekiti wa klabu ya Simba Ismail Aden Rage akipongezwa na wanachama wa klabu hiyo baada ya mkutano kuisha huku wanachama wa klabu hiyo wakionesha kumkubali. Tofauti na ilivyodhaniwa na wengi kuwa Rage angepata wakati mgumu kwenye mkutano wa leo, lakini hali ilikuwa shwari na hotuba yake iliweza kuwarudisha kundini baadhi ya wanachama walikuwa wamejitenga na kufanya mkutano kumalizika salama licha ya kuwa na mabishano kwa baadhi ya wanachama. 
Simba oyeeeee!! Nguvu moja...wanachama


Wanachama wa klabu ya Simba zaidi ya 500 waliokusanyika leo kwenye mkutano. 

No comments:

Post a Comment