Monday, July 15, 2013

Thiago Alcantara atua Bayern Munich

Big move: Thiago Alcantara has joined former manager Pep Guardiola at Bayern Munich
Hatimaye Thiago Alcantara kiungo wa Barcelona amesajiliwa na klabu ya Bayern Munich ya Ujerumani kwa Euro mil 25. Taarifa hizi zimekuwa ni mbaya kwa klabu ya Man utd ambayo ilikuwa ikimuhitaji mchezaji huyu, lakini uhusika wa kocha wa Bayern Pep Guardiola ndiyo uliowezesha kusajiliwa kwa Thiago kwenda Munich, kwani wawili hawa walikuwa na mahusiano mazuri tokea wakiwa wote Barcelona. 

No comments:

Post a Comment