Monday, July 15, 2013

Washabiki wajitokeza kwa wingi kuwapokea Arsenal

Looking sharp: Theo Walcott and Wojciech Szczesny in traditional Vietnamese hats
Wachezaji wa Arsenal wakiwasili nchini Vietnam huku wakiwa wamevaa kofia za asili ya nchi hiyo. Arsenal wapo kwenye ziara bara la Asia, na Vietnam ni nchi ya pili kuitembelea baada ya Indonesia. Arsenal wanatarajia kucheza na timu ya taifa ya Vietnam siku ya tarehe 17 Julai katika uwanja wa My Dinh National Stadium. 
Happy days: Alex Oxlade-Chamberlain gives the photographer the thumbs-up
Hello there: Arsene Wenger is greeted as he steps off the aeroplane in Hanoi
Here come the boys: Arsenal players leave the VIP gate on a bus at Hanoi's international Noi Bai airport
Welcome to Vietnam: Arsenal will become the first Premier League side to play against Vietnam
Night riders: Vietnamese football fans drive to the airport to greet Arsenal players

No comments:

Post a Comment