Tuesday, July 16, 2013

Thiago na Cavani watambulishwa rasmi na klabu zao

If the shirt fits: Thiago is presented with the number six shirt by Bayern chief executive Karl-Heinz Rummenigge
Kiungo mpya wa Bayern Munich, Thiago Alcantara akitambulishwa na CEO wa klabu hiyo Karl-Heinz Rummenigge. Thiago amejiunga na Bayern Munich akitokea Barcelona kwa ada ya paundi mil 22 na amesaini mkataba wa miaka mnne. 
'Unique': Thiago said Guardiola was an inspiration during the early stages of his career in Catalonia
Kocha wa Bayern Munich, Pep Guardiola akiwa na Thiago baada ya kujiunga rasmi na klabu hiyo. Guardiola ndiye aliyemshawishi Thiago kujiunga na Munich badala ya Man utd. 
Official: Edinson Cavani being unveiled at PSG after his £55million move
Cavani akionesha jezi yake baada ya kujiunga rasmi na klabu ya PSG akitokea Napoli ya Italia kwa paundi mil 55 na kuvunja rekodi ya usajili msimu huu. Cavani amejiunga PSG kuungana na mastaa wengine wa klabu hiyo wakiwemoZlatan Ibrahimovic, Marco Verratti, Ezequiel Lavezzi, Lucas Moura, Javier Pastore na Thiago Silva  
Massive price: Cavani is now the fourth most expensive player of all-time

No comments:

Post a Comment