McManaman akicheza rafu kwa Haidara |
FA imesema haitompa adhabu yoyote mchezaji wa wigan McManaman kwa kumchezea rafu mbaya Haidara wa Newcastle. McManaman alimchezea rafu Haidara Jumapili iliyopita katika mchezo kati ya Wigan na Newcastle ulikwisha kwa Wigan kushinda goli 2-1. Kocha wa Newcastle alipeleka malalamiko yake FA kwasasabu rafu hiyo haikuamulia chochote na mwamuzi aliyekuwa akichezesha mchezo huo. Video zimemuonesha refa huyo akiwa karibu ya tukio lakini hakutoa maamuzi yoyote zaidi ya kumwangalia Haidara akitolewa nje.
No comments:
Post a Comment