Friday, August 2, 2013

Angali pasi nzuri ya Isco mchezaji mpya wa Madrid

Video hii inamuonesha kiungo mpya wa klabu ya Real Madrdi Isco aliyesajiliwa kutoka Malaga akipiga pasi nzuri iliyowezesha goli. Isco ni moja ya viungo bora kwasasa anayechipukia na ndiye aliyeiwezesha kwa kiasi kikubwa klabu ya Malaga kufika robo fainali ya klabu bingwa barani Ulaya msimu uliopita. Isco alipiga pasi hii kwenye mechi ya kirafiki kati ya Real Madrid na  LA Galaxy iliyofanyika jana, matokeo ya mwisho Madrid 3 - 1 LA Galaxy. Angalia video hiyo hapo chini 



iTIvebzBWVvK2 An absolutely gorgeous outside of the boot assist! Isco (Real Madrid) v LA Galaxy {GIF & Video}

No comments:

Post a Comment