Monday, August 5, 2013

Azam FC yapiga kambi nchini Afrika Kusini

Wachezaji wa klabu ya Azam wakiwa kwenye mazoezi nchini Afrika Kusini kujiandaa na ligi kuu Tanzania bara msimu ujao. Uongozi wa Azam umesema, timu imekwenda kufanya mazoezi nchini Afrika Kusini ili kubadilisha mazingira na kucheza mechi za kimataifa za kirafiki na klabu za bondeni. Leo Azam FC ilicheza mechi yake ya kwanza na klabu ya Kaizer Chiefs ikaambulia kipigo cha magoli 3-0. 

No comments:

Post a Comment