Thursday, August 1, 2013

Nadra kutokea, Pirlo akosa penati dhidi ya Everton

Kiungo mzoefu wa Juventus Andrea Pirlo ambaye ni moja kati ya wapiga penati hodari kwasasa, jana alikosa penati kwenye mechi ya kirafiki dhidi ya Everton. Penati hii aliyokosa Pirlo ndiyo iliyasababisha Everton waibuke na ushindi wa magoli 6-5. Habari hii ya Pirlo kukosa penati imesambaa kwa kasi kubwa duniani kupitia mitandao na vyombo vya habari vya kimataifa kwasababu ni nadra sana kwa mchezaji huyu kukosa penati. Angali video iliyopo hapo chini kuona tukio hilo.

No comments:

Post a Comment