Saturday, August 3, 2013

Tata Martino asisitiza Fabregas hauzwi

Fabregas
Kocha wa Barcelona Tata Martino ameendelea kusisitiza kuwa kiungo wa klabu hiyo Cesc Fabregas hauzwi. Tata aliyasema hayo jana mbele ya umati wa mashabiki wa Barcelona kabla ya mechi ya kirafiki dhidi ya Santos. Tata alisema ' Cesc haondoki Barcelona msimu huu, siongei hivi ili nipate umaarufu, ila najiamini na kauli yangu kwasababu ndiyo kitu ninachokiamini kitatokea'. Wakati Martino akisema haya, kocha wa Man utd David Moyes amesema United watatuma ofa nyingine ya paundi mil 35 kwani hadi sasa Cesc ndiye chaguo lao la kwanza. 
Confident: Martino believes Fabregas, who played in Barca's 8-0 win over Santos, is staying at the Nou Camp
Cesc akimkumbatia Neymar baada ya kufunga goli tano dhidi ya Santos. Neymar ndiye aliyempa Cesc pasi ya goli katika mechi ambayo Barca walishinda kwa magoli 8-0.  
Plans: Martino said after the game with Santos that he'd prefer Cesc to stay at Barcelona
The two stars: Lionel Messi and Neymar are enjoying themselves before the game
Messi na Neymar wakifurahia jambo wakati wa utambulisho wa kikosi cha Barca msimu ujao 
Trouble: Neymar is protected from an angry Internacional fan in Barcelona
Mshabiki akizuiwa kumsogelea Neymar baada ya kuingia ndani ya uwanja bila ruhusa. 


Video highlights Barcelona 8 - 0 Santos 

No comments:

Post a Comment