Wednesday, September 11, 2013

Bale na Ronaldo wakutana.....


Bale na Ronaldo wamekutana leo kwa mara ya kwanza tokea Bale ahamie Real Madrid....Ronaldo na Bale wote ni washambuliaji wa upande wa kushoto, unafikiri Ancelotti (Kocha wa Madrid) atatumia mfumo gani kuwachezesha pamoja Bale na Ronaldo??? Mdau unaweza kutoa maoni yako kupitia facebook akaunti ya Michezoupdates

No comments:

Post a Comment