Wednesday, October 30, 2013

Blatter amuomba msamaha Cristiano Ronaldo

Screen+Shot+2013 10 29+at+9.09.36+PM Sepp Blatter takes to Twitter to apologise to Cristiano Ronaldo, points out his an honorary socio at Real Madrid
Haya ni maneno ya kuomba radhi ya Rais wa FIFA Sepp Blatter kwa Ronaldo baada Blatter kumponda mchezaji huyu kuwa anacheza kama roboti na anatumia pesa nyingi kwenye fasheni na kutengeneza nywele. Blatter amechukua uamuzi huu baada ya Ronaldo na Real Madrid kumtaka aombe msamaha kwa kauli aliyoitoa. Kama hukumsikia Blatter akimponda Ronaldo, shuka chini kwenye post zilizopita ndani ya blog hii utaweza kuangalia video hiyo ya Blatter. 

No comments:

Post a Comment