Wednesday, October 30, 2013

Ozil amkabidhi Mourinho jezi yake baada ya mechi

tumblr mvgdtlcp3H1qftb6ko1 1280 Mesut Ozil gave Jose Mourinho his shirt after Chelsea knocked Arsenal out the cup [Pictures]
Ozil akikumbatiana na Mourinho baada ya mechi kati ya Arsenal na Chelsea kwenye mechi ya Capital cup. Ozil alipoulizwa kwanini alimpa Mourinho jezi yake alisema ' Mourinho ni kocha bora duniani, ndiye ameniwezesha kufanikiwa sana katika kazi yangu. Namchukulia kama Baba yangu na mlezi bora'. Katika mechi hii Chelsea ilishinda magoli 2 - 0 na kuitoa katika michuano hii klabu ya Arsenal. 

Arsenal%252Bv%252BChelsea%252BCapital%252BOne%252BCup%252BFourth%252BRound%252BWoNwJ4hePRYx Mesut Ozil gave Jose Mourinho his shirt after Chelsea knocked Arsenal out the cup [Pictures]
BXz1HJ8CAAAnP8R Mesut Ozil gave Jose Mourinho his shirt after Chelsea knocked Arsenal out the cup [Pictures]
BXxvVzDCMAAISa  Mesut Ozil gave Jose Mourinho his shirt after Chelsea knocked Arsenal out the cup [Pictures]

No comments:

Post a Comment