Monday, December 2, 2013

Kocha wa Liverpool amlilia Sturridge

Frustrated figure: Brendan Rodgers has bemoaned the loss of Sturridge to injury
Kocha wa Liverpool Brendan Rodgers amesema timu yake itaendelea kupata wakati mgumu kucheza bila Daniel Sturridge. Rodgers aliyasema haya kwenye mahojiano na waandishi wa habari mara tu baada ya mchezo kati ya Hull na Liverpool kumalizika, huku Liverpool ikiwa imefungwa magoli 3-1. Rodgers alisema 'ni vigumu sana kucheza bila ya wachezaji wawili tuliyokuwa tunawategemea kwenye kikosi cha kwanza. Phillipe hakufanya mazoezi ya kutosha wiki nzima, na ilibidi achomwe sindano ili aweze kucheza, kiwango chake bado sio kizuri. Sturridge ndiyo pengo kubwa kwetu kwani atakuwa nje ya uwanja kwa wiki nane, na kipindi hiki tunakabiliwa na mechi za muhimu sana, hivyo kumkosa Sturridge itatugharimu sana, lakini tutajitahidi kuzoea mazingira.  Mechi ambazo Sturridge atazikosa ni kama ifuatavyo; 

December 2013


Show last 5 matches and coverageCompetitionFixtureDateKick-offStatus
Premier League Wed 4 Dec19:45
Premier League Sat 7 Dec15:00
Premier League Sun 15 Dec16:00
Premier League Sat 21 Dec12:45
Premier League Thu 26 Dec17:30
Premier League Sun 29 Dec16:00
Playing through pain: Liverpool's Phillipe Coutinho (left) had to have an injection so that he could make the bench against Hull
Phillipe
Ruled out: Daniel Sturridge could miss up to eight weeks with an ankle injury picked up in training
Sturridge 

No comments:

Post a Comment