Thursday, November 7, 2013

Arsenal ya sasa ina kopi ya wachezaji wa zamani kwa namna ya uchezaji wao

Arsenal
Sagna, Mertesacker, Koscielny na Gibbs wamefananishwa uchezaji wao na nguli wa zamani wa klabu hiyo akina Dixon, Adams, Keown na Winterburn. Umahiri wa nguli hawa wa zamani umewafanya waendelee kukumbukwa hadi leo. Wachezaji hawa walikuwa ni mahiri wa kulinda ngome jambo lililowafanya kina Sagna, Mert, Koscielny na Gibbs kufananishwa nao baada ya kuonesha uwezo mkubwa msimu huu kwenye ligi pamoja na michuano ya Uefa champions. Moja ya matokeo ya umahiri wao ni matokeo mazuri inayoyapa klabu ya Arsenal ikiwemo kuongoza ligi ya ndani na kundi kwenye michuano ya Uefa champions. 

No comments:

Post a Comment