Wednesday, January 15, 2014

Azam FC yafanya mabadiliko kwenye uwanja wake

VIP room za uwanja wa Azam Fc kama zinavyoonekana hivi sasa baada ya maboresho 

Muonekano mpya wa uwanja wa Azam FC Chamanzi. Azam imeendelea kufanya maboresho uwanja wake ili kuuwezesha kupata tiketi ya kutumika kwenye michuano ya klabu za Afrika ambapo Azam FC itashiriki kuiwakilisha Tanzania bara. 


Basi jipya la Azam FC 

No comments:

Post a Comment