
Klabu ya Chelsea imethibitisha kumsajili kiungo mkabaji wa Benfica, Nemanja Matic kwa dau la Euro mil 25. Mchezaji huyu aliwahi kuichezea Chelsea miaka mitatu iliyopita kabla ya kuhamia Benfica akiwa amejumushwa kwenye dili la Chelsea kumsajili David Luiz.
Video cheki kiwango cha Matic akiwa na Benfica
![Imminent Chelsea signing Nemanja Matic arrives in London; Pictured at Berkeley Hotel [Pictures] Bd U7fuIMAEJcoz Imminent Chelsea signing Nemanja Matic arrives in London; Pictured at Berkeley Hotel [Pictures]](https://pbs.twimg.com/media/Bd-U7fuIMAEJcoz.jpg)
![Imminent Chelsea signing Nemanja Matic arrives in London; Pictured at Berkeley Hotel [Pictures] Bd ey4pIIAAIbdU Imminent Chelsea signing Nemanja Matic arrives in London; Pictured at Berkeley Hotel [Pictures]](https://pbs.twimg.com/media/Bd-ey4pIIAAIbdU.jpg)
Matic akiwa Berkeley Hotel jijini London


No comments:
Post a Comment