Tuesday, May 28, 2013

Oxlade,Gibbs na Jenkinson watembelea Emirates

Wachezaji watatu wa Arsenal Alex Oxlade,Gibbs na Jenkinson leo wametembelea kituo cha mafunzo cha shirika la ndege la Emirates Dubai wakiwa kama wadhamini wakuu wa klabu hiyo. Wachezaji hao wapo Dubai kwenye ziara ya kituo cha mafunzo ya kukuzia vipaji vya mpira kwa vijana ambacho kipo chini ya klabu ya Arsenal. Pamoja na ziara hiyo vilevile wachezaji hawa walikwenda kwenye shirika la ndege la Emirates kujifunza baadhi ya mambo mbalimbali ya uendeshaji wa shirika hilo ikiwemo mafunzo ya awali ya kuendesha ndege.  

Arsenal players Alex Oxlade Chamberlain, Kieran Gibbs and Carl Jenkinson
Arsenal players Alex Oxlade Chamberlain, Kieran Gibbs and Carl Jenkinson
Good in the air: They are in the Middle East as part of a visit to the Gunners' soccer schools in the region

Video ya Alex Oxlade,Gibbs na Jenkinson wakiwa kwenye flight simulator ya Emirates wakijifunza jinsi ya kurusha na kutua ndege

No comments:

Post a Comment