Thursday, March 21, 2013

Messi aweka wazi tattoo yake mguuni

Lionel Messi mchezaji bora wa FIFA duniani amechora tattoo kwenye mguu wake wa kushoto yenye mikono na jina la mtoto wake. Messi amesema amechora tattoo hiyo kwenye mguu wake muhimu wa kushoto kuonesha mapenzi yake kwa mtoto wake mwenye umri wa miaka minne.    




Messi akichorwa tattoo


No comments:

Post a Comment