Beki wa Man Utd, Rio Ferdinand amesema safari yake ya kwenda
Qatar ilikuwa haijapangwa. Rio ameandika kwenye Twitter yake kuwa, safari imekuja ghafla, alikuwa hajui kama atakwenda
Qatar kwa ajili ya football academy na kufanya mahojiano ya TV. Ferdinand ametoa
maelezo haya baada ya kupata taarifa kuwa kitendo chake cha kujitoa timu ya taifa
kimesabashwa na mipango yake ya kwenda Qatar.
No comments:
Post a Comment