Valdes, Golikipa wa FC Barcelona ametangaza kuwa anataka kuhamia Arsenal mwishoni mwa msimu huu. Valdes aliongea na Arsene Wenger kumjulisha nia yake ya kujiunga na Arsenal. Wenger ameshaandaa kiasi cha dola za kimarekani milioni 8.5 kwa ajili ya kumchukua Valdes. Valdes alishaujulisha uongozi wa Barcelona kuwa huu ndiyo msimu wake wa mwisho kuchezea club hiyo. Arsenal ilitanganza nia yake ya kutafuta golikipa mwingine mwenye uzoefu zaidi ya Szczesny. Mbali na Valdes, Arsenal pia inawanyemelea Peter Cech na Pepe Reina. (DailyMail Magazine)
No comments:
Post a Comment