Kwa mujibu wa jarida la France Football, David Beckham ndiye mchezaji soka anayelipwa zaidi duniani. Beckham analipwa dola milion 46.5 ikiwa ni mshahara pamoja na vitega uchumi vyake vingine ikiwemo fasheni. Lionel Messi ndiye anashikilia nafasi ya pili kwa kulipwa dola milioni 45.2 akifuatiwa na Cristiano Ronaldo nafasi ya tatu akipata kitita cha dola milioni 39.
No comments:
Post a Comment