Michael Owen mshambuliaji wa Stoke City ambaye ametangaza kustaafu soka mwishoni mwa msimu huu, amesema goli alilofunga dhidi ya Argentina ndiyo goli analolikumbuka kuliko yote aliyowahi kufunga. "toka mwaka 1998 hadi leo nalikumbuka lile goli kwasababu lilibadilisha maisha yangu na dunia ilinifahamu kupitia goli lile, alisema Owen. Goli hilo Owen alifunga kwenye mechi kati ya England na Argentina kwenye fainali za kombe la dunia mwaka 1998 nchini Ufaransa.(Angalia video ya goli hilo)
No comments:
Post a Comment