Thursday, March 21, 2013

Ridhiwani Kikwete achagulia kuwa mwenyekiti kitega uchumi cha Yanga


Mwenyekiti wa klabu ya Young Africans Sports Club mheshimiwa Yusuf Manji leo amemtambulisha wakili Ridhiwani Kikwete kuwa mwenyekiti wa kamati ya ujenzi wa kitega uchumi katika eneo la klabu lililopo makutano ya Mafia/Nyamwezi  eneo la Ilala jijini Dar es salaam.Akiongea na waandishi wa habari leo makao makuu ya klabu Manji amesema uteuzi wa Ridhiwani umezingatia uwezo wake kwa taaluma yake, na moyo alionao katika kujitolea katika kazi mbali mbali za klabu ya Yanga.


No comments:

Post a Comment