GiveFootball linaripoti kuwa mpira wa miguu siku hizi ni pesa, hivyo ni vigumu kuona
mchezaji mzuri mwenye kipaji akibaki timu moja kwa muda mrefu. Imekuwa kawaida
kwa wachezaji wenye majina makubwa kuhama timu moja kwenda nyingine wakifuata
pesa, mfano mzuri ni Torres, Eto’o, Drogba na Beckham ambao wameshacheza katika
timu zisizopungua tatu hadi sasa toka wajulikane. Lakini leo tunaangalia
wachezaji ambao wamekuwa waaminifu na kutulia kwenye timu moja kwa muda mrefu.
Ifuatayo ni kumi bora ya wanasoka nyota waliodumu kwenye timu zao kwa muda mrefu.
1.Ryan Giggs
|
(Man utd 1990- 2013)
|
2.Paul Scholes
|
(Man utd 1991- 2013)
|
3.Francesco Totti
|
( Roma 1993 – 2013)
|
4.Javier Zanetti
|
(Inter Milan 1995 - 2013)
|
5.Philip Lahm
|
(Bayern Munich 1995 - 2013)
|
6.Carles Puyol
|
(Barcelona 1995 - 2013)
|
7.Raul Gonzalez
|
( Real Madrd 1992 – 2010)
|
8.Jamie Carragher
|
(Liverpool 1996-2013)
|
9.Xavi
|
(Barcelona 1997-2013)
|
10.Iker Casillas
|
(Real Madrid 1999-2013)
|
No comments:
Post a Comment