Monday, April 22, 2013

Kijana ambaye ni kipofu awatambua kwa majina wachezaji wa Barca

Hi there: The nine-year-old managed to recognise Lionel Messi and Co
Kijana wa miaka tisa ambaye ni kipofu amewashangaza wachezaji wa Barcelona baada ya kuwatambua kwa kuwataja majina. Kijana huyo Mamadou Lamine aliweza kumtambua Messi, Abidal na Puyol. Katika picha hii Mamadou alikuwa anamtambua Messi wakati Iniesta akiwa anamwangalia usoni kama atapatia, lakini aliweza kumtambua kwa kutaja jina 'Messiii".

Video ya kijana alipokuwa anawatambua wachezaji

No comments:

Post a Comment