Monday, April 22, 2013

Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo


Watching on: The three kids knock the ball around as the stars are put through their paces
Pichani ni watoto wa David Beckham wakifanya mazoezi na PSG wikiendi hii. Brooklyn, Romeo na Cruz wameonekana mara kwa mara wakimfuata baba yao kufanya mazoezi kitu ambacho kinawafanya watoto hao waanze kujijengea mazoea ya kuucheza mpira, kwa hali hii hakuna atakayeshangaa kuwaona watoto hawa wakicheza kwenye klabu kubwa baada ya miaka mitano mpaka kumi ijayo. 
Catch me if you can: Brooklyn takes on PSG captain Thiago Silva
Brooklyn akifanya mazeozi na Thiago Silva
Me and Zlat: PSG striker Ibrahimovic messes around with Romeo
Romeo akifanya mazoezi na Ibrahimovic 

No comments:

Post a Comment