Sunday, April 28, 2013

Kinda wa Chelsea apiga bonge la goli

Kinda wa Chelsea Chalobah anayecheza kwa mkopo Watford alifunga goli zuri lililoiwezesha Watford kupata goli la pili dhid ya Leicester City. Katika mchezo huo Watford wakiwa ugenini waliibuka na ushinda wa goli 2-1. Cheki video

No comments:

Post a Comment