Sunday, May 26, 2013

Bayern Munich wawasili jijini Munich

Timu ya Bayern Munich imewasili jijini Munich jumapili jioni ikitokea London baada ya kunyakuwa kombe la klabu bingwa barani Ulaya. Bayern Munich walipaa na moja kati ya ndege kubwa kuliko zote duniani Airbus 380 ya shirika la serikali la Ujerumani Lufthansa na baada ya kufika Munich airport ndege hiyo ilipigiwa salute kwa kumwagiwa maji na magari ya fire kama ishara ya pongezi kwa mabingwa hao wa Ulaya kwa mara ya tano. Angalia video ya tukio hilo hapo chini



Hero's welcome: Despite the wet weather, the team were mobbed by fans at Munich airport

No comments:

Post a Comment